in ,

DOUDOU MANENGU – NINA HAJA NAWE

Swahili Gospel

DOUDOU MANENGU - NINA HAJA NAWE - Screenshot 20220908 232122

Download Swahili gospel song NINA HAJA NAWE mp3 by DOUDOU MANENGU free.

DOWNLOAD ALSO:   Alex Kasau Katombi - Pewa Pewa

This is a Swahili Gospel Music by the sensational gospel artist DOUDOU MANENGU.

Doudou Manenga Nina Haja Nawe Lyrics.

Nina haja naweKila saaHawezi mwingine, kunifaaNina haja naweKaa namiNa maonjo hayaHayaumi
YesuNakuhitajiVivyo kila saaNiwezeshe, Mwokozi, nakujia.YesuNakuhitajiVivyo kila saaNiwezeshe, Mwokozi, nakujia
Nina haja nawe; Kila haliMaisha ni bureUli mbaliNina haja nawe; nifundisheNa ahadi zakoZifikishe
YesuNakuhitajiVivyo kila saaNiwezesheMwokozi, NakujiaYesuNakuhitajiVivyo kila saaNiwezeshe, Mwokozi, nakujia
Nina haja naweMweza yoteNi wako kabisa, Siku zoteNina haja nawe; Mweza yoteNi wako kabisa, Siku zote
Yesu, nakuhitajiVivyo kila saaNiwezeshe, Mwokozi, nakujiaYesu, nakuhitajiVivyo kila saaNiwezeshe, Mwokozi, nakujia
Yesu, nakuhitajiVivyo kila saaNiwezeshe, Mwokozi, nakujia
Yesu, nakuhitajiVivyo kila saaNiwezeshe, Mwokozi, nakujia
Niwezeshe, niwezeshe babaNiwezeshe, niwezeshe babaNiwezeshe, niwezeshe babaNiwezeshe, niwezeshe baba

Play DOUDOU MANENGU – NINA HAJA NAWE mp3.

DOUDOU MANENGU – NINA HAJA NAWE mp3 download.

Download “DOUDOU MANENGU - NINA HAJA NAWE” DOUDOU-MANENGU-NINA-HAJA-NAWE.mp3 – Downloaded 310 times – 5 MB

NINA HAJA NAWE mp3 download free.

DOUDOU MANENGU songs mp3 download.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Adamma Masquerade Dance - adamma masquarade dance Soundwela.com

Adamma Masquerade Dance

Doudou Manenga - Ni Ujumbe - Doudou Manenga songs mp3 download Soundwela

Doudou Manenga – Ni Ujumbe